Shirikiana na KAWAKIA

Kuna njia nyingi za kushirikiana na DACB. Hapo chini kuna orodha ya njia ambazo unaweza kuhusika na kuendeleza kazi ya mradi.

Toa

Ukurasa huu una maagizo juu ya jinsi ya kutoa mchango wa kifedha kwa kazi ya KAWAKIA.

Kujitolea

Hapa utapata njia za kujitolea wakati wako kusaidia katika kazi ya KAWAKIA.

Washirika wa Taasisi

Ukurasa huu una nyaraka na maagizo ya kusaidia jinsi ya kushiriki katika kazi ya DACB kama taasisi ya elimu.