Bure Ukusanyaji wa KAWAKIA

Vifungu vyote viliunda au kuwasilishwa wakati wa miaka ishirini ya kwanza ya mradi huo, kutoka 1995 hadi 2015.

Mattewos

Majina mbadala: Mattéwos
400s-500s
Kanisa la kale la Kikristo
Ethiopia

Abba Mattewos alikuwa mfuasi wa Abba Zä-Mika’él Arägawi wakati Däbrä Damo kwa mara ya kwanza ilifanywa kama eneo la watawa, na alimrithi kama mtawa mkuu pale.

A. K. Irvine


Bibliografia

I. Guidi, “Il ‘Gadla Aragâwi’” Atti della Reale Accademia dei Lincei, serie quinta, vol. 2 (1896).


Makala hii imenakiliwa, kwa ruhusa, toka The Dictionary of Ethiopian Biography, Vol. 1 ‘From Early Times to the End of the Zagwé Dynasty c. 1270 A.D.,’ hatimiliki 1975, imehaririwa na Belaynesh Michael, S. Chojnacki na Richard Pankhurst, Institute of Ethiopian Studies, Addis Ababa, Ethiopia. Haki zote zimehifadhiwa.